Taasisi ya DYCCC na AlHikma Foundation wakabidhi vifaa vya PPE kwa Taasisi ya JAI kwa ajili ya kuzikia
Taasisi za DYCCC na Alhikma Foundation kwa kushirikiana na Taasisi zingine 7 wameweza kutoa msaada wa vifaa mbali mbali vya kuzikia leo tarehe 09 May 2020. Hii ilifuatia na mafunzo ya namna ya kuhudumia na kuzika maiti iliyotolewa na wataalam wa maziko. Makabidhiano haya yamefanyika katika viwanja vya Makaburi ya Kisutu mjini Dar Es Salaam.
No comments: