MKURUGENZI MKUU MPYA WA MSD BRIG. JEN MHIDIZE AWASILI OFISINI




Mkurugenzi Mkuu mpya wa MSD Brig. Jen. Dkt. Gabriel Sauli Mhidize amepokelewa ofisini kwake, Keko Dar es Salaam na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa MSD Bw. Laurean Bwanakunu.

Aidha Brig. Jen. Dkt. Gabriel Sauli Mhidize, amekutana na kuzungumza na Menejimenti ya Bohari ya Dawa (MSD).


Brig. Jen. Dkt. Gabriel Sauli Mhidize aliteuliwa tarehe 3 may,2020 na Rais John Magufuli kushika nafasi hiyo.

No comments: