MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AMEMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI MAZISHI YA ALIYEKUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MAREHEMU BALOZI AUGUSTINE MAHIGA MKOANI IRIBGA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika katika kijiji cha Tosamaganga Mkoani Iringa, Makamu wa Rais alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli kwenye Mazishi hayo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Mchanga kwenye Kaburi la aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika katika kijiji cha Tosamaganga Mkoani Iringa, Makamu wa Rais alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli kwenye Mazishi hayo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimfariji Dada wa Marehemu Balozi Dkt. Augustine Mahiga Bibi Rustica Mahiga Baada ya Mazishi ya hayo yaliyofanyika katika kijiji cha Tosamaganga Mkoani Iringa, Makamu wa Rais alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli kwenye Mazishi hayo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye Mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli yaliyofanyika katika kijiji cha Tosamaganga Mkoani Iringa.
No comments: