Video Mpya : Ommy Dimpoz ft MwanaFA – Hello
Msanii anaefanya vizuri kwenye gemu la muziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz ameachia video ya wimbo wake mpya inayojulikana kwa jina la Hello ambayo amemshirikisha rapa mkongwe Mwana Fa.
The post Video Mpya : Ommy Dimpoz ft MwanaFA – Hello appeared first on Global Publishers.
No comments: