LIVE: UCHAMBUZI KUELEKEA SIMBA V/S UD SONGO NA MECHI ZA LEO VPL 25/08/2019
Leo ni siku ya Mabingwa wanchi, Simba SC ambayo itakuwa kwenye Uwanja wa Taifa kurudiana na UD Songo ya Msumbiji. Simba katika mchezo huo inahitaji ushindi wowote kusonga mbele kutokana na matokeo ya awali ambayo yalikuwa ni suluhu.
The post LIVE: UCHAMBUZI KUELEKEA SIMBA V/S UD SONGO NA MECHI ZA LEO VPL 25/08/2019 appeared first on Global Publishers.
No comments: