CHUO KIKUU ARDHI WATOA ELIMU MAADHISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

MHADHIRI wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Paul Kitosi akifafanua jambo kwa sehemu ya wageni waliotembelea maonesho ya kazi zinazofanywa na chuo hicho wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Goba jijini Dar es Salaam leo. 
 MHADHIRI wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Shule ya Sayansi ya Mazingira na Tekinolojia, Addo Michael Ndimbo akimwelezea mfumo wa usafishaji maji mmoja wa wageni waliotembelea maonesho ya chuo hicho katika maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Goba jijini Dar es Salaam Juni 20 2019.
 MHADHIRI Msaidizi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Dennis Gapser akitoa maelezo kwa sehemu ya wageni waliotembelea maonesho ya kazi zinazofanywa na chuo hicho wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Goba. (Picha na Robert Okanda)   
 MHADHIRI wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Dkt. Zakaria Ngereja akimwelimisha mkazi wa Dar es Salaam aliyekuwa na kiu ya kupata taarifa sahihi za maswala ya ardhi alipotembelea maonesho ya chuo hicho katika maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma Goba. 
 MHADHIRI wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Dkt. Benedict Malele akifafanua jambo kwa baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam walioshiriki maonesho ya maswala ya ardhi yaliyoandaliwa na ARU eneo la Zahanati ya Goba katika maadhimisho ya wiki ya utumishi jijini humo.

No comments: