Hizi Ndiyo Njia Rahisi za Kushinda Mamilioni Sokabet
- Kupitia simu au kompyuta, fungua tovuti ya Sokabet ambayo ni www.sokabet.co.tz
- Jiandikishe kwa kubonyeza ‘SIGN UP’, jaza nafasi zilizo wazi, ukimaliza utatumiwa namba yako ya siri kwa SMS (kama umeshajiandikisha huna haja ya kufanya huu mchakato, utaanzia namba 3).
- Bonyeza ‘LOGIN’, andika namba ya simu na ingiza namba ya siri uliyotumiwa kwa SMS, hapo utakuwa umefungua akaunti yako.
- Ingiza fedha kwa M-Pesa, piga piga *150*00#, chagua namba 4 (lipa kwa M-pesa), chagua namba 4 (weka namba ya kampuni), ingiza namba ya kampuni ambayo ni 335757, kisha ingiza kumbukumbu ambayo ni neno ‘Sokabet’. Ingiza kiasi unachotaka mfano Sh 1,000 au 2,000 na kuendelea, kisha ingiza namba yako ya siri na bonyeza namba 1 kukamilisha mchakato.
- Ingiza fedha kwa Tigo Pesa, piga namba *150*01#, chagua namba 4 (lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), ingiza namba 335757, ingiza kiasi cha fedha, ingiza neno ‘Sokabet’, malizia na namba yako ya siri ya TigoPesa.
- Ingiza fedha kwa Airtel Money, piga *150*60#, chagua namba 5 (lipia bili), bonyeza namba 4 (namba ya kampuni), ingiza namba 335757, ingiza kiasi cha fedha, ingiza kumbukumbu namba (ingiza neno ‘Sokabet’) kisha namba yako ya siri ya Airtel Money.
- Anza kubet kwa Sh 200 tu, ukishaweka fedha katika akaunti yako ya Sokabet, unaweza kuanza kubeti, kumbuka kiwango cha chini kabisa cha kubet ni shilingi 200 tu.
- Ukitatizika popote wasiliana na huduma kwa wateja kwa namba 0659077077 pia unaweza kuwasiliana nao bure kwa kuingia katika tovuti na kulia kwako utaona neno ‘online’, bonyeza hapo uanze kuchati na watoa huduma.
- Vipengele kibao, kuna michezo mingi unayoweza kubeti, baadhi ni soka, American Football, baseball, kikapu, kriketi, gofu, mpira wa mikono (handball), ice hockey, mbio za magari, ragbi, tenisi, volleyball na ndondi.
- SOKABET APPLICATION! Unaweza kubashiri kupitia application ya Sokabet ambayo ukitaka kuipata, tembelea www.sokabet. co.tz kisha DOWNLOAD na INSTALL kwa matumizi rahisi ya kila siku.
- Tumia *148*89# Kutumia mfumo wa USSD unawezesha kubashiri kwa kutumia simu, kufuata mchakato ufuatao, piga *148*89# kisha utakaribishwa ndani ya huduma za Sokabet wa ujumbe wa ‘Karibu Sokabet’.
- Tumia namba 15800, unaweza kuitumia kupata huduma mbalimbali. Unaweza kujisajili kwa kutuma neno SOKABET kwenda 15800, huduma nyingine ni:
PIN = Tuma neno PIN tuma kwenda 15800
SALIO = Tuma neno SALIO kwenda 15800
TOA = Kutoa pesa kutoka akaunti ya Sokabet kwenda Mpesa/ Tigopesa/Airtel Money andika neno TOA acha nafasi kisha kiasi tuma kwenda 15800. MFANO: TOA 2000
The post Hizi Ndiyo Njia Rahisi za Kushinda Mamilioni Sokabet appeared first on Global Publishers.
No comments: