Mrithi wa Manji kupatikana Januari

BAADA ya sintofahamu ya muda mrefu hatimaye Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia kwa Mwenyekiti wake, Malangwe Mchungahela imetangaza 13 Januari, 2019 kuwa ndiyo tarehe ya uchaguzi ndani ya klabu ya Yanga. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea) Uchaguzi huo ambao utafanyika katika nafasi za Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na wajumbe wanne wa ...

No comments: