Iran yagomea vikwazo vya Marekani

RAIS wa Iran, Hassan Rouhani ameahidi kupinga vikwazo vya Marekani dhidi ya taifa lake, vinavyotarajiwa kuanza kutekelezwa leo tarehe 5 Novemba 2018. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Mwishoni mwa wiki iliyopita Marekani ilitangaza kuibua vikwazo vya zamani na kuanzisha vikwazo vipya dhidi ya Iran, huku vikwazo hivyo vikilenga sekta ya taasisi za kifedha, mafuta, gesi, ...

No comments: