Mkuu wa shule, wanafunzi 79 watekwa nyara

MKUU wa shule pamoja na wanafunzi wa kiume 79 wametekwa nyara na makundi ya waasi katika jiji la Bamenda nchini Cameroon. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Tukio hilo limetokea asubuhi ya leo tarehe 6 Novemba 2018, ambapo taarifa za awali zinadai kuwa, wahusika wa utekaji huo ni makundi ya wanamgambo wanaotaka kujitenga na nchi hiyo, ...

No comments: