Coaster lagonga lori sita wafariki papo hapo
WATU sita wamepoteza maisha huku saba wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria iliyotokea leo tarehe 6 Novemba 2018 maeneo ya Segera mkoani Tanga. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza kuhusu ajali hiyo, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Wankyo Nyigesa amesema chanzo cha ajali hiyo ni gari la abiria aina ya Coaster lenye namba za usajili ...
No comments: