Kibadeni Alaani Mo Dewji Kutekwa

Abdallah Athuman Seif ‘King Kibadeni’.

MCHEZAJI wa zamani wa Klabu ya Simba na timu ya taifa ya Tanzania, Abdallah Athuman Seif ‘King Kibadeni’ amelaani kwa kitendo cha Mohamed Dewji ‘Dewji’ kutekwa na kusema kinatishia usalama kwa jamii.

 

Akizungumza na Champion Ijumaa, Kibadeni baada ya taarifa hiyo ya kuthibitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, alisema: “Tunaomba serikali iwachu-kulie hatua kali hao waarifu ambao wamehusika na tukio hilo la Mo Dewji, tuna-omba izidishe usalama zaidi kwa jamii maana kama mtu maarufu na mwenye fedha katekwa, je, watu wa kawaida siwatatekwa sana.”

The post Kibadeni Alaani Mo Dewji Kutekwa appeared first on Global Publishers.

No comments: