NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI AMJULIA HALI WAZIRI DR. KIGWANGALLA



 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, leo 26, 09, 22018 amemjulia hali Wazirii wa Maliasili na Utalii, Dk. Khamis Kingwangalla nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam. Dk. Kigwangalla alipata ajali Augusti 4 mwaka huu wakati akiwa kwenye ziara yake ya kikazi

No comments: