Vuta Samaki Na Big Bass Halloween Splash 1000 Upate Ushindi Hadi Mara 1,000

 


USIKU wa Halloween umefika ziwani, na safari hii mambo si ya kawaida, Big Bass Halloween Splash 1000, mchezo mpya kutoka Pragmatic Play unaopatikana Meridianbet, unakualika kwenye safari ya kuvua samaki iliyojaa vituko, bonasi na nafasi za kushuhudia ushindi mkubwa. Shika ndoana yako, tupa chambo majini na uwe tayari kwa burudani yenye ladha ya Halloween.

Safari inaanza kwenye mchezo wa kawaida, ambapo kila mzunguko unaweza kuwa mwanzo wa tukio kubwa zaidi. Ukifanikiwa kupata Scatter 3 hadi 5, milango ya bonasi inafunguka na unaweza kupata mizunguko ya bure 10 hadi 20. Kabla ya mizunguko ya bure kuanza, kuna picha maalum ya uvuvi inayoweza kufungua hadi modifiers tano za bonasi, zikiwemo alama za pesa, alama maalum, mizunguko ya bure ya ziada na hata kuanza bonasi ukiwa Level Two.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Lakini hapa ndipo mambo yanapokuwa mazito zaidi. Ukiwa kwenye mizunguko ya bure, Wild ikitokea, inakusanya alama za pesa zote zilizo kwenye mchezo, ambazo zinaweza kuwa na thamani ya hadi mara 1,000. Hivyo kila Wild inapojitokeza, macho yanaelekezwa kwenye alama hizo za pesa, kwani mtego mmoja mzuri unaweza kubadilisha kabisa mwelekeo wa mchezo.

Na usidhani hapo ndipo mwisho wa safari. Kila unapofikisha Wild ya nne, mizunguko ya bure inaweza kuongezwa tena kwa mizunguko 10 huku vizidishi vya ushindi vikipanda. Kwenye awamu ya kwanza ni x2, ya pili inafika x3, na awamu ya tatu na ya mwisho inaweza kufikisha hadi mara 10. Hii inakufanya usiondoke kwenye ziwa hata sekunde moja.

Sasa ni wakati wa kuingia kwenye maji na kuanza safari yako ya Halloween kupitia Big Bass Halloween Splash 1000 ya Meridianbet. Tupa ndoana, fuatilia Wild, kusanya alama za pesa na uone kama utapata samaki mkubwa mwenye thamani ya hadi mara 1,000.

No comments: