ZIMEBAKI SIKU 2 , TUMA WAZO BUNIFU TRA KABLA YA JULAI 31 USHINDE HADI MILIONI 50, WASHINDI 1020 KUNUFAIKA.
Tuma wazo bunifu TRA sasa , Zimebaki siku 2 , ingia tovuti ya TRA kitufe cha Innovation portal tuma wazo lako na ujipatie nafasi ya kushinda hadi TSh milioni 50 au kuwa miongoni mwa washindi 1,020 watakaozawadiwa. Kumbuka, dirisha la kupokea mawazo linafungwa Julai 31, 2026. Wahi sasa, usipitwe na fursa hii! #WazobunifuTRA2026
#Buniwazoushinde

No comments: