Mhe. Ridhiwani Kikwete Awasili Mkoani Mtwara Kuhudhuria Mahafali ya 43 ya TPSC

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete (Mb.), amewasili mkoani Mtwara kuhudhuria Mahafali ya 43 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), Kampasi ya Mtwara, yanayofanyika leo Juni 13, 2026.


Mara baada ya kuwasili, Mhe. Kikwete amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanali Donald William Msengi, pamoja na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa.






 

No comments: