Mbabe wa Dunia Kaja na Mizigo Yakutosha Unaiachaje sasa?
.png)
KARIBU kwenye kwenye Zigo la Mizawadi, Meridianbet tumezindua rasmi kampeni mpya na ya kusisimua ya “Mbabe wa Dunia”, ikitoa nafasi kwa wapenzi wa soka kushindania zawadi zenye thamani ya jumla ya TZS 100,000,000 katika kipindi chote cha Kombe la Dunia 2026.
Kuanzia leo Juni 12 hadi Julai 19, kila tiketi yenye mechi za Kombe la Dunia inaweza kukusogeza karibu zaidi na ushindi wa zawadi kubwa, huku kila dau likiwa fursa ya kujikusaanyia pointi kwenye msimamo wa washindi.
Kampeni hii imebeba zawadi za kuvutia ambazo zitabadilisha maisha ya washindi. Mshindi wa kwanza ataondoka na Bajaj mpya, huku nafasi za pili hadi nne zikijinyakulia pikipiki aina ya Boxer-125 pamoja na bonasi za kasino. Washindi wengine watajishindia televisheni za kisasa za Hisense, simu za Samsung A26 pamoja na bonasi mbalimbali za michezo na kasino. Hii ni nafasi adhimu kwa mashabiki wa soka kuunganisha burudani ya Kombe la Dunia na fursa ya kujishindia zawadi kubwa.
Kushiriki ni rahisi sana. Weka tiketi inayojumuisha angalau mechi moja tu ya Kombe la Dunia 2026 au zaidi, hakikisha dau lako ni kuanzia TZS 1,000 na odds za jumla ni angalau 2.50. Kila tiketi halali itakuletea pointi 5, huku ukipewa pointi za ziada kadri unavyoongeza kiwango cha dau. Kadri unavyocheza zaidi, ndivyo nafasi yako ya kupanda kwenye msimamo na kuwazidi washindani inavyoongezeka.
Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Tofauti na promosheni nyingine nyingi, “Mbabe wa Dunia” inawapa washiriki nafasi ya kufuatilia maendeleo yao moja kwa moja kupitia msimamo wa washindi unaobadilika mara baada ya tiketi kufungwa. Hii inaongeza ushindani wa kweli na hamasa kwa kila mshiriki kupambana hadi dakika ya mwisho ya Kombe la Dunia ili kuhakikisha anamaliza katika nafasi za juu.
Usikose nafasi hii ya kipekee ya kuwa sehemu ya kampeni kubwa zaidi ya Kombe la Dunia mwaka 2026. Ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet, tengeneza tiketi zako za Kombe la Dunia na anza kukusanya pointi leo. Mechi zinapochezwa, ndoto za ushindi mkubwa nazo zinazidi kuwa karibu. Cheza sasa, kusanya pointi na uthibitishe kuwa wewe ndiye Mbabe wa Dunia!
No comments: