Siku Njema Inaanza na Mechi Kali Leo

IJUMAA ya leo inaanza kibabe kabisa mabapo kutakuwa na mechi nyingi ambazo zitakuwa zinaendelea huku kila timu ikihitaji kupata ushindi. Je nani unampa nafasi kubwa ya kuondoka na pointi 3?
EPL kule Uingereza kama kawaida kutakuwa na mtanange mmoja kati ya Leeds United dhidi ya Burnley ambao wameshuka daraja baada ya kupanda daraja msimu huu. Wenyeji wanahitaji ushindi siku ya leo kwani mpaka sasa mechi zimebaki chache na presha ya kushuka daraja inazidi kuwa kubwa kwa timu zilizochini kabisa kwenye nafasi ya msimamo wa ligi.
Mara ya mwisho kukutana kati yao Burnley waliondoka na ushindi, hivyo siku ya leo ni siku ya wenyeji kulipa kisasi huku wakipewa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi leo pale Meridianbet. Hii ni moja ya mechi kali sana pale Uingereza kwani wageni wanaweza waikubali kupoteza kirahasi mechi hii. Lakini je vijana wa Daniel Farke watakubali kudondosha pointi siku ya leo?. Jisajili hapa.
Meridianbet inakwambia tengeneza mkwanja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Halikadhalika kule Hispania LALIGA nayo itawaka moto vilivyo kuanzia Ijumaa hii ambapo Girona atamenyana dhidi ya Mallorca ambao mpaka sasa wanashika nafasi ya 17 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa kwenye ligi ni 3 pekee.
Kuelekea mwisho wa msimu zikiwa zimebaki takribani mechi 5 kumalizika kwa msimu wa ligi, kila timu sasa inapambana kufanya vyema kwenye mechi hizi zilizosalia. Girona anahitaji ushindi nyumbani leo, lakini mgeni naye anahitaji ushindi kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya kwanza walipokutana.
Kule kwa wakali wa ubashiri Meridianbet wanakwambia kuwa mechi hii ia machaguo zaidi ya 1000, hivyo ingia kwenye akaunti yako na uanze kusaka maokoto kwenye mechi hii siku ya leo. Je ni nani kuondoka na ushindi Ijumaa ya leo?. Suka jamvi hapa.
Vilevile kule Italia, SERIE A kuna mtanange mmoja wa kukata na shoka kati ya Pissa dhidi ya US Lecce huku takwimu zikionesha kuwa wawili hawa walipokutana mara ya mwisho mwenyeji alipoteza mchezo huu, hivyo siku ya leo mechi hii ni muhimu sana kwake kupata matokeo.
Pissa yupo nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi huku mgeni wake akiwa nafasi ya 17 huku nao pia ushindi wa leo ni muhimu sana kwao kwani utawafanya wasogee juu ya msimamo wa ligi na wajiondoe kwenye hatihati ya kushuka daraja msimu huu.
Kwa ujumla kuelekea mwisho wa msimamo wa ligi, mechi za leo zinahitaji kupata ushindi kwenye mechi zao zilizosalia ili wajiweke sawa kwenye kubakia kwenye ligi msimau ujao, ukiachana na zile ambazo tayari mpaka sasa zimeshuka.
No comments: