Burnley na Wolves Rasmi Kuaga Leo Ligi Kuu EPL

 


SAA 18:00 jioni leo, Mei 24, Uwanja wa Turf Moor utakuwa kinara wa tamasha la walio kata tamaa la Ligi Kuu ya Uingereza. Burnley na Wolves, timu ambazo tayari zimeshazama rasmi daraja la Championship,

Zinakutana katika mchezo usio na nguvu ya ubabe bali wenye uzito wa hadhi. Kwa kuwa wote wameshahukumiwa kushuka, kinachobaki ni kujitetea na kupambania nafasi ya 19 inayokuja na zawadi kubwa ya kifedha na heshima ndogo ya kumaliza mbele ya mwenzako.

Kwa Wolves, msimu wenyewe umekuwa janga tangu mwanzo, wakiwa wamezama chini kabisa kwa muda mrefu. Walakini, kapteni wao Moller Wolfe ameweka wazi wazi “Hatutaki kumaliza chini kabisa”. Ushindi wa leo unawahakikishia nafasi ya 19, na ingawa ni faraja ndogo, inachukuliwa kama deni kwa mashabiki wao waliojaa huzuni. Kwa upande wa Burnley, wanaingia uwanjani wakiwa wanajiheshimu zaidi, hasa baada ya kuwaibua Wolves kwa ushindi wa 3-2 mwanzoni mwa msimu pale Molineux.

Burnley chini ya Scott Parker amejenga utambulisho wao kwa uimara wa ulinzi uliowafundisha kuchoka hadi kufika Ligi Kuu. Wanacheza mpira wa tahadhari, wanapenda kushikilia mpira maeneo salama, na wanategemea sana makipa kuzuia milio ya hatari. Walakini, udhaifu wao ni uwezo mdogo wa kujenga mashambulizi, hivyo katika mchezo kama huu usio na shinikizo la pointi, watabaki kuwa na umakini kuliko ubunifu.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kinyume chake, Wolves wana timu iliyojaa nyota wa mashambulizi kama Jhon Arias, lakini wao ni timu inayotegemea sana mpira wa kukaba na kukimbia kwa kasi. Uchambuzi unapendekeza kuwa uwanjani kuna nafasi kubwa ya mabao kuzidi mawili, huku kuna uwezekano wa asilimia 60 kwa kila timu kufunga. Lakini kwa sababu timu zote hazina shinikizo la kubana, mchezo unaweza kugeuka kuwa wa kistaarabu na wenye makosa machache ya nyuma.

Ingawa historia inaonyesha Burnley wana rekodi nzuri nyumbani kwao Turf Moor, kiwango cha Wolves kwa sasa ni kikubwa zaidi kwenye karatasi. Lakini katika soka, wakati timu zikiwa tayari zimeshuka daraja, motisha huwa ndio kiungo muhimu zaidi. Wolves wanaonekana wenye njaa zaidi ya kumaliza mbele, Jisajili

No comments: