Siku ya Ushindi na Meridianbet Imefika

WAKALI wa ubashiri wanakuita leo hii usuke jamvi lako la ushindi sasa. Timu kibao zipo uwanjani leo kusaka ushindi na wewe ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet usake mkwanja sasa.
EPL leo hii itaendelea Arsenal atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Everton ambao wanashika nafasi ya 8 kwenye msimamo w aligi. Wageni wao wapo nafasi ya 8 huku mechi ya mwisho kukutana The Gunners walishinda. Je leo hii nani kuondoka na pointi 3?. Bashiri hapa.
Kwa upande wa Chelsea wao watawakaribisha Newcastle United ya Eddie Howe ambao wapo nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi. Vijana wa Lima wanahitaji ushindi wkaiwa nyumbani ili kujiweka sawa kwenye mbio za Top 4. ODDS KUBWA izpo hapa. Jisajili hapa.
Mechi nyingine ni hii ya West Ham United vs Manchester City ambao wapo kwenye mbio za ubingwa na mechi hii ikiwa ni muhimu sana kwa upande wao. Wagonga Nyundo wa London wanataka kulipa kisasi leo hii baada ya kupigika mechi ya mwisho walipokutana. Je beti yako unaiweka kwa nani?. Suka jamvi hapa.
Tengeneza pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Ligi kuu ya Hispania, LALIGA nayo kama kawaida kitawaka Girona atakuwa mwenyeji wa Athletic Bilbao huku takwimu zikionesha kuwa tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 5 pekee. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo kujiweka kwenye nafasi nzuri. Bashiri mechi hii sasa.
Nao Getafe watakuwa ugenini dhidi ya Atletico Madrid ambao wanashika nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi huku mgeni wake akiwa nafasi ya 11. Diego Simeona anataka kuendeleza ubabe wake mbele ya wageni wake. Je ataweza huku Meridianbet wakikwambia kuwa mechi hii inakupatia maokoo leo. Jisajili hapa.
Real Madrid wao watakuwa Santiago Bernabeu kupepetana dhidi ya Elche ambapo vijana hawa wa Abeola wanautazama mchezo huu kama muhimu kwa upande wao kwani mbio za ubingwa ni za moto sana. Je Mbappe na wenzake kukusanya pointi 3 nyumbani?. Suka mkeka hapa.
Kule Ujerumani, BUNDESLIGA pia kuna mechi za ushindi zitapigwa Bayer Leverkusen atamenyana dhidi ya Bayern Munich ambao wakali wa ubashiri Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda bingwa mtetezi. ODDS KUBWA izpo kwenye mechi hii. Tandika jamvi hapa.
Nao Borussia Dortmund atakuwa kibaruani dhidi ya Augsburg ambao wanaingia uwanjani kulipa kisasi leo baada ya kupoteza mechi ya mwisho walipokutana. BVB wanataka ushindi leo kujiweka sawa kwenye mbio za Top 4. Beti hapa.
No comments: