Maisha Yako ni Jukumu Lako Ukiwa na Meridianbet

 


WIKENDI hii imekuja kivingine kabisa kwani kubadilisha maisha yako ni jambo la dakika kadhaa tuuh. Timu kibao za ushindi zinakungoja wewe siku ya leo, hivyo weka dau lako na uanze safari yako ya ushindi sasa.

Jumamosi ya leo pale Goodison Park, kutakuwa si tu na mechi ya kawaida, bali ni hadithi ya timu mbili zilizo kwenye safari tofauti lakini zenye presha inayofanana. Everton wanapigania utulivu na heshima yao ndani ya ligi, huku Chelsea wakisaka nafasi za ushindi kujiweka sawa kwenye mbio za Top 4.

Everton wao, kila mechi sasa imebeba uzito wa alama tatu kama dhahabu. Wakiwa karibu na eneo la hatari la kushuka daraja, wanajua wazi kuwa kucheza nyumbani si chaguo ni lazima wapambane. Uwanja wao umekuwa ngome ya hisia kali, mashabiki wakisukuma kila mpira kana kwamba ni wa mwisho.

Kwa Chelsea, picha ni tofauti lakini si rahisi kwani chini ya kocha mkuu Lima, wanajaribu kusaka nafasi 4 za juui, kila pointi ni uwekezaji wa matumaini ya kufuzu michuano ya Ulaya. Wana kikosi kipana, chenye vipaji na kasi, lakini swali limekuwa moja: je, wana uthabiti wa kushinda mechi kama hizi ngumu za ugenini? Mechi dhidi ya Everton si ya kupima ubora tu, bali ni kipimo cha ukomavu wa timu.

Leo hii unaweza kutengeneza pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Katika uwanja, vita kuu itakuwa katikati. Everton watajaribu kuvuruga mpangilio wa Chelsea, kukata pasi na kulazimisha makosa. Chelsea wao watatafuta utulivu, kupunguza kasi ya mchezo na kuumiliki mpira. Ikiwa watafanikiwa kulivunja presha ya mwanzo ya Everton, basi wataanza kujenga mashambulio yao taratibu – na hapo ndipo tofauti ya ubora inaweza kuonekana.

Lakini ratiba zijazo zinaongeza uzito wa mechi hii. Everton wanakabiliwa na mfululizo wa mechi ngumu dhidi ya timu za juu, hivyo pointi hapa ni muhimu kama akiba kabla ya dhoruba. Kwa Chelsea, pia wanatazama mbele kwenye mechi dhidi ya wapinzani wa moja kwa moja kwenye mbio za nafasi za juu hivyo kushinda hapa ni kujijengea kujiamini kabla ya vita kubwa zaidi.

Je The Blues wanaweza kushinda mechi hii ugenini?. Au The Toffees wataleta ubabe wakiwa nyumbani kwao?

Halikdhalika kule Ujuerumani BUNDESLIGA kuna mechi ya kukata na shoka kati ya Bayern Munich vs Union Berlin. Hii ni mechi ambayo vijana wa Kompany wanahitaji ushindi iliwazidi kujikita kileleni kwenye msimamo wa ligi.

Ikumbukwe kuwa hawa ni wababe wa ligi hii huku ikiwa ni moja ya timu ambayo ina kikosi kipana na bora kabisa chenye wachezaji wazoefu huku wakipewa nafasi kubwa ya kuondoka na ubingwa.

Union Berlin mpaka sasa wanashika nafasi ya 9 huku wakiachwa pointi 36 na mwenyeji. Mchezo huu utapigwa plae kwenye Dimba la Allianz Arena ambapo mashabiki wa Bayern wakiwa wanajipa moyo kupata ushindi kwenye mchezo huu kwani mechi iliyopita licha ya kupata kadi nyekundu walifanikiwa kukusanya pointi 1.

Ukubwa wa kikosi cha Bayern unawafanya wawe na matokeo mazuri kwenye kila mechi huku kinara wa magoli wa klabu hiyo Harry Kane akikisaka kiatua cha ufungaji bora msimu huu huku akiendelea kuvunja rekodi mbalimbali za soka.

Licha ya kuwa na wachezaji wazuri kama vile Jamal Musiala, Gnabry, Goretzka, Kimmich na wengine klabu hii inahitaji kushinda mataji mengi Ulaya likiwemo lile la UEFA ambapo mpaka sasa wameshapiga hatua kubwa yaani kwa 99% a kwenda hatua ya Robo Fainali.

Kwa upande wa Union Berlin wao ni timu ya daraja la kati hivyo inaingia uwanjani siku ya leo ikiwa na “Under dog” ndio maana hata pale Meridianbet hawampi nafasi kubwa ya kushinda leo mechi hii. Lakini pia hii ni timu ambayo huwa inatoa Surprize ukishangaa unakuta tayari mpira upo nyavuni.

Takwimu zinaonesha kuwa kila zinapokutana timu hizi mbili Bayern anapata shida kupata ushindi na akishinda matokeo huwa ni 3-2, muda mwingine huishia sare ya 22, na wababe hao wa Ujerumani wakishinda hushinda haswa.

Hivyo timu hii sio ya kubeza kabisa kwani siku ikiamkia upande mzuri mechi huwa ngumu sana. Lakini anakutana na Munich ambayo imepoteza alama kwenye mechi yao iliyopita na wanahitaji ushindi kwa lazima. Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Hivyo ingia na ubeti sasa.

No comments: