Expanse Studios Wazidi Kujitanua, Sasa Wapo Stake

BAADA ya mafanikio makubwa ya Expanse studios kama washirika na watoa hudu ma wa kampuni mbalimbali kama Meridianbet na nyingine nyingi, sasa wameenda mbali zaidi kwa kuweka ushirikiano mpya na kampuni ya kubashiri ya Stake.
Expanse studios wanafahamika kwa uandaaji wa michezo mbalimbali yenye msisimko wa hali ya juu na iliyopokelewa kwa kiwango kikubwa na wabashiri mbalimbali Duniani. Michezo kama Super Heli, Wild Icy Fruits, VASO Psycho na mingine mingi imetikisa soko la ubashiri Duniani kwa kiwango kikubwa, na sasa ni muda wa watumiaji wa Stake kuipata burudani hii.
Expanse Studios wapo chini ya Meridian Holdings Inc., wamiliki wa kampuni mbalimbali kama Meridianbet Group inayofanya kazi nchi nyingi Duniani, RKings wanaofanya kazi Uingereza, Mexplay wanaofanya kazi nchini Mexico na Classics for a Cause wanaoendesha shughuli zao nchini Australia.
Wakati wa makubaliano ya kufanya kazi pamoja, mtendaji mkuu wa Expanse Studios, Damjan Stamenkovic alisema kwamba Expanse wanafurahi kufanya kazi na Stake kutokana na ukubwa alionao Stake duniani huku akithibitisha ni kwa namna gani ushirikiano huo utaongeza nguvu na upatikanaji kwenye soko la kimataifa.
“Stake ni chapa ya kiwango cha juu katika ulimwengu wa michezo ya kubahatisha kimataifa, Ushirikiano huu unaongeza wigo wa kufikika kwetu kupitia mtandao wa Hub88 ili kuwahudumia wachezaji wa kimataifa wa Stake, na pia unapanua usambazaji wetu wa kimataifa.”
Ushirikiano huu unaonesha uwezo wa Expanse kushughulikia sehemu mbalimbali za soko kupitia mikakati ya utekelezaji iliyoboreshwa kulingana na mahitaji, ukichanganya mbinu za usambazaji wa kimataifa kupitia miundombinu ya ujumuishaji iliyokwisha kuanzishwa.
Ikiwa na zaidi ya washirika 1,300 duniani kote na mkusanyiko wa zaidi ya michezo 70 ya kipekee, Expanse inaendelea kupanuka kimkakati katika masoko mapya ya michezo ya ubashiri, ambapo majukwaa makubwa yamekua yakitumia michezo yake..jpeg)
.jpeg)
No comments: