TCCIA YAFANYA KIKAO KAZI KUHUSIANA NA KUANZISHWA KWA OFISI ZA ICC TANZANIA

Makamu katibu Mkuu wa ICC na Mjumbe wa Kamati kuu,Bw. Julian Kassum akizungumza na ujumbe wa TCCIA, ukiongozwa na Rais Bw. Vicent Minja, Mkurugenzi Mtendaji Bw. Oscar Kissanga, pamoja na Meneja Wanachama Bw. Kelvin Ogodo wakati wa kikao kazi kuhusiana na kuanzishwa kwa ofisi za ICC Tanzania na Mkutano Mkuu wa Chemba za kimataifa za Biashara, utakaofanyika Nairobi nchini kenya.
Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya MeLT Group,Mohammed Dewj akisalimiana na Ujumbe wa TCCIA, Ukiongozwa na Rais Bw. Vicent Minja, Mkurugenzi Mtendaji Bw. Oscar Kissanga, pamoja na Meneja Wanachama Bw. Kelvin Ogodo wakati wa kikao kazi kuhusiana na kuanzishwa kwa ofisi za ICC Tanzania na Mkutano Mkuu wa Chemba za kimataifa za Biashara,Utakaofanyika Nairobi nchini Kenya wiki hii.
Kutoka kushoto: Mkurugenzi Mtendaji Bw. Oscar Kissanga, Bi. Patricia Nzolantina, Mjumbe wa kamati kuu ICC, Bw. Julian Kassum, Makamu katibu Mkuu wa ICC na Mjumbe wa Kamati kuu na Rais wa TCCIA Bw. Vicent Minja, wakiwa kwenye picha yapqmoja baada ya kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam kilichohusu kuanzishwa kwa ofisi za ICC Tanzania na Mkutano Mkuu wa Chemba za kimataifa za Biashara, Utakaofanyika Nairobi nchini Kenya wiki hii.
Makamu Katibu Mkuu wa ICC na Mjumbe wa Kamati kuu Bw. Julian Kassum, wakiagana na Rais wa TCCIA, Bw. Vicent Minja, baada ya kikao kazi kilichohusu kuanzishwa kwa ofisi za ICC Tanzania na Mkutano Mkuu wa Chemba za kimataifa za Biashara, Utakaofanyika Nairobi Nchini Kenya wiki hii, wengine ni Mkurugenzi Mtendaji Bw. Oscar Kissanga, Bi. Patricia Nzolantina, Mjumbe wa kamati kuu ICC.
Makamu Katibu Mkuu wa ICC na Mjumbe wa Kamati kuu Bw. Julian Kassum, akimwonyesha Rais wa TCCIA, Bw. Vicent Minja, Tovuti ya ICC jinsi inavyofanyakazi baada ya kikao kilichohusu kuanzishwa kwa ofisi za ICC Tanzania na Mkutano Mkuu wa Chemba za kimataifa za Biashara,Utakaofanyika Nairobi nchini Kenya wiki hii.
No comments: