Ijumaa ya leo Itakuwa Murua Ukibashiri na Meridianbet
JE unajua kuwa siku yako ya leo itaanza vizuri endapo utasuka jamvi lako na Meridianbet?. Timu kibao zipo uwanjani kusaka pointi 3 za kujiweka sawa, na wewe tafuta pesa uamke vizuri hapo kesho.
Ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambapo vinara wa ligi hiyo FC Bayern Munich watakuwa ugenini kusaka pointi 3 za kuzidi kujikita kileleni dhidi ya FC Augsburg ambao wapo nafasi ya 8. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, vijana wa Vincent Kompany waliondoka na ushindi. ODDS za mechi hii ni 7.00 kwa 1.46. Bashiri hapa.
Pia kule Italia SERIE A mechi nyingine ambayo itaendelea ni hii ya Genoa vs Udinese ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 5 pekee. Mwenyeji mechi iliyopita, alipoteza huku mgeni wake naye alipoteza, hivyo ushindi wa leo hii ni muhimu kwa kila timu. Je nani kuondoka na pointi tatu leo?. Meridianbet wameipa mechi hii 2.60 kwa 3.20. Jisajili hapa.
Nafasi ya kuwa Milionea ndani ya Meridianbet unayo leo hii. Bashiri mechi za leo lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Vilevile Ufaransa leo LIGUE 1 nayo kitaumana vilivyo OGC Nice atapepetana dhidi ya Nantes ambao 13 wakiwa na pointi zao 27, huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 4 na pointi zake 4. Mara ya mwisho kukutana, hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Nafasi ya kushinda leo hii aple Meridianbet amepewa mwenyeji kwa ODDS 1.55 kwa 6.00. Tandika jamvi hapa.
LALIGA kuna mechi kali ya pesa leo, Rayo Vallecano atakipiga dhidi ya Espanyol Barcelona ambapo tofauti yao ni pointi 11. Nafasi ya kuondoka na ushindi amepewa mwenyeji akiwa na pointi zake 1.75 kwa 5.60, lakini pia mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri sasa.
SAUDI ARABIA ligi itaendelea Al Kholood atamwalika kwake Al Taawoun FC ambao wapo nafasi ya 8 na mwenyeji yupo nafasi ya 10. Tofauti kati yao ni pointi 3 huku mara ya mwisho walipokutana, walitoa sare. Je leo hii beti yako unaiweka wapi kwenye hizi timu mbili?. 2.37 kwa 2.75 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Mechi nyingine kali leo hii ni kati ya Al Hilal vs Al Nassr ambao wameachwa pointi 6 na bingwa huyu mtetezi wa ligi hiyo. Sare ndio matokeo ya mwisho kupatikana walipokutana. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda bingwa mtetezi kwa ODDS 2.03 kwa 3.15. Je Ronaldo na wenzake watakubali kupigika ugenini?. Bashiri sasa.
No comments: