RAIS DKT.SAMIA AAGANA RASMI NA MWENYEKITI WA BENKI YA DUNIA LEO IKULU JIJINI DODOMA.

 


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika Bi. Victoria Kwakwa, tarehe 17 Machi 2025, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Bi. Kwakwa alifika Ikulu kuaga rasmi baada ya kustaafu kufanya kazi Benki ya Dunia kwa muda wa miaka 35. Kwa upande wake  Rais Dkt. Samia amemshukuru kwa ushirikiano aliouonyesha kwa Tanzania kwa muda wote wa uongozi wake.





 

Leave a Comment

No comments: