MERIDIANBET KUKUPATIA MKWANJA MNONO LEO

 


BAADA ya jana kushuhudia mitanange kibao kwenye ligi mbalimbali, leo hii pia mechi kibao zinaendelea huku nafasi ya wewe kuibuka bingwa ikiwa kubwa. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa.

EPL pale leo hii ni moto wa quotes mbali kabisa ambapo Chelsea atakuwa pale Stamford Bridge kusaka ushindi dhidi ya Leicester City ambao wana hali mbaya kwenye msimamo wa ligi. Mechi ya kwanza walipokutana, The Blues walishinda. Je leo hii kwa ODDS 1.27 kwa 10. Bashiri hapa.

Wakai huo huo Tottenham Spurs atakuwa na kibarua cha kusaka pointi 3 dhidi ya AFC Bournemouth ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 10 pekee ambapo vijana wa Ange wapo nafasi ya 13 na mgeni wake nafasi ya 9. Mara ya mwisho kukutana mwenyeji alipasuka. Je leo hii atalipa kisasi?. Mechi hii imepewa ODDS 2.75 kwa 2.50. Jisajili hapa.

Na mechi kali leo hii Uingereza ni hii ya Manchester United vs Arsenal ambapo vijana wa Amorim wanahitaji ushindi wa hali na mali pale Old Trafford, lakini The Gunners pia ushindi ni muhimu sana kwao. Meridianbet wamewapa Arteta na vijana wake nafasi ya ushindi kwa ODDS 1.77 kwa 5.20. Suka jamvi hapa.

Jumapili ya kuibuka mshindi hii hapa, bashiri sasa na Meridianbet mechi zote. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Aviator, Roullette, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Kule Hispania LALIGA itendelea pia ambapo Atletico Madrid atakuwa ugenini kuchuana dhidi ya Getafe. Mwenyeji yupo nafasi ya 14 na mgeni wake nafasi ya pili huku vijana wa Diego Simeone wakishinda leo hii watapanda hadi nafasi ya 1. ODDS za mechi hii ni 4.80 kwa 1.92. Bashiri sasa.

Vilevile mechi nyingine ya pesa leo hii itakuwa ni kati ya Real Madrid vs Rayo Vallecano huku nafasi ya kuibuka na ushindi akipewa mwenyeji kwa ODDS 1.32 kwa 9.00, Carlo na vijana wake wanahitaji ushindi leo hii kujiweka swa kwenye mbio za ubingwa. Tengeneza jamvi hapa.

Real Sociedad ataumana dhidi ya RCD Mallorca ambao wanashikilia nafasi ya 9 na pointi zao 39 hadi sasa. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 10 huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 2 pekee. Je beti yako unaiweka wapi leo?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 hapa. Beti sasa.

Italia SERIE A pia itaendelea leo hii ambapo SSC Napoli atamleta kwake ACF Fiorentina katika dimba la Diego Maradona huku mechi ya mkondo wa kwanza walipokutana, Vijana wa Conte waliibuka mabingwa. Mechi hii imepewa ODDS 1.60 kwa 6.20. Jisajili hapa.

Wakati majira ya saa 2:00 usiku Empoli atakipiga dhidi ya AS Roma ambao wameshind amechi zao 4 mfululzo kwenye ligi. Mwenyeji yeye ametoka kutoa sare mechi yake iliyopita, huku Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya ushindi mgeni kwa ODDS 2.08 kwa 3.80. Beti sasa.

Bibi Kizee wa Turin, Juventus atakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Atalanta ambao wamewazidi pointi 3 pekee. Mara ya mwisho kuonana walitoa sare ya kufungana. Je leo hii kwa ODDS 2.60 kwa 2.90 nani kuibuka mbabe?. Suka jamvi hapa.

Ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1 nayo kama kawaida kitawaka leo ambapo Brest ataumana dhidi ya Angers huku tofauti yao ni pointi 6 pekee. Kila timu inahitaji ushindi hii leo ili kukaa nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi. Je nani kuondoka mbabe leo?. 1.73 kwa 5.20 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

OGC Nice yeye atakiwasha dhidi ya Lyon ambao wapo nafasi ya 6 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 3 hadi sasa. Tofauti yao ni pointi 7 huku mtanange wa mwisho kukutana, Lyon alishinda. Je mwenyeji kulipa kisasi leo?. Mechi hii ina ODDS 2.12 kwa 3.45. Beti hapa.

No comments: