RAIS SAMIA AFUNGUA HOSPITALI YA WILAYA HANDENI MKATA TANGA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Halmashauri ya wilaya ya Handeni iliyopo Mkata mkoani Tanga tarehe 23 Februari, 2025.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Halmashauri ya wilaya ya Handeni iliyopo Mkata mkoani Tanga tarehe 23 Februari, 2025.

 






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mkata, katika uwanja wa Shule ya Msingi Mkata wilayani Handeni mkoani  Tanga tarehe 23 Februari, 2025.







Wananchi wa Mkata wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika uwanja wa Shule ya Msingi Mkata wilayani Handeni mkoani  Tanga tarehe 23 Februari, 2025.













No comments: