SUKA JAMVI LAKO LA USHINDI HAPA

 

JUMAMOSI ya kuhakikisha huondoki patupu imewadia ambapo mechi nyingi za ligi mablimbali zinaenda kupigwa siku ya leo. Weka dau lako dogo na ujishindie mkwaja mrefu sasa.

Meridianbet inaanza kuiangazia ligi kuu ya Hispania LALIGA ambapo Deportivo Alaves baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii atamleta kwake Girona ambaye alishinda mechi yake iliyopita. Mechi ya mwisho kukutana, walitoshana nguvu. Je leo hii anni atibuka mbabe?. Mechi hii ina ODDS 3.10 kwa 2.50. Bashiri hapa.

Kwa upande wa Real Valladolid yeye ataumana dhidi ya Real Betis ambao tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 13 huku mwenyeji yeye akiwa anashikilia nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. 5.40 kwa 1.70 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Sevilla yeye atakuwa akisaka pointi 3 dhidi ya Valencia ambapo mtanange wa mwisho kukutana timu hizi walitoa suluhu hivyo leo hii kila timu inahitaji alama 3. Tofauti ya pointi kati yao ni 10 pekee huku wakali wa ubashiri Meridianbet wakimpa mwenyeji kwa ODDS 2.10 kwa 3.80. Beti yako unampa nani leo?. Tengeneza jamvi hapa.

Kuwa bingwa leo hii ndani ya Meridianbet kwani odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

BUNDESLIGA kule Ujerumani pia kitawaka haswa Freiburg atamenyana dhidi ya Holstein Kiel ambao wapo nafasi ya pili kutoka mwisho wakiwa na pointi zao 8 pekee huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 9 na pointi zao 24. 1.38 kwa 7.80 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Katika dimba la MEWA Arena FSV Mainz atakuwa akipepetana dhidi ya VFL Bochum huku timu zote zikiwa zimetoka kushinda mechi zao zilizopita. Mgeni anashikilia nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 5. Mechi ya mwisho waliyokipiga Mainz alishinda. Je mgeni aleo atalipa kisasi?.

Bingwa mara nyingi wa ligi hiyo Bayern Munich atakuwa mgeni wa Borussia Monchengladbach ambao wapo nafasi ya 8 kwenye msimamo wa ligi. Tofauti yao ni pointi 12 huku mwenyeji akitaka kulipa kisasi leo baada ya kupigika mechi zote msimu uliopita. Mechi hii ina ODDS 7.60 kwa 1.36. Bashiri hapa.

Vilevile Jumamosi ya leo ligi kuu ya Italia SERIE A itandelea ambapo Atalanta BC atakuwa ugenini dhidi ya Udinese ambao wapo nafasi ya 9. Gasperin na vijana wake wakishinda hii leo watarejea kileleni kwa tofauti ya magoli. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 5.60 kwa 1.62. Jisajili hapa.

Huku Torino yeye ataumana dhidi ya Juventus ambayo mpaka sasa kwenye mechi zake 18 haijzpoteza hdi moja. Wakati mwenyeji yeye kapoteza mechi 8. Kila timu inahitaji ushindi hii leo baada ya mechi zao zilizopita kushinda kushinda. 4.80 kwa 1.95 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza mkeka wako hapa.

AC Milan uso kwa uso dhidi ya Cagliari Calcio ambao wapo nafasi ya 17 kwenye msimamo wa ligi. Ni sare ambayo ilipatikana kwenye mechi zao za mwisho kukutana huku leo kila mtu akihitaji ushindi wa hali na mali. Je nani kuondoka na pointi zote pale San Siro?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.37 kwa 8.20.

Pia kule Ufaransa LIGUE 1 nayo kuna mechi za pesa Stade Brest 29 vs Olympique Lyon mechi kali kabisa ambayo imepewa ODDS 3.35 kwa 2.15 ambapo timu hizi mara ya mwisho kukutana Lyon aliibuka bingwa. Je beti yako unaiweka wapi leo?. Suka jamvi hapa.

OGC Nice baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mgeni wa Stade Reims ambaye alipoteza mechi yake iliyopita. Mwenyeji yupo nafasi ya 11 na mgeni wake yupo nafasi ya 6 huku tofauti yao ikiwa ni pointi 7 pekee. Nani unamdhamini akupe maokoto siku ya leo?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubashiri sasa.

Mechi kubwa leo hii ni hii inayowakutanisha kati ya Rennes dhidi ya Marseille ambao ni wa pili kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 13 huku nafasi ya ushindi ndani ya Meridianbet leo hii akipewa mgeni kwa ODDS 2.35 kwa 3.25. Jisajili hapa.

No comments: