SPURS KULIPA KISASI KWA LIVERPOOL?

 


MOJA ya mchezo mkali ambao itachezwa usiku wa leo ni pamoja na mchezo wa nusu fainali wa kombe la Carabao ambapo klabu ya Tottenham Hotspurs dhidi ya Liverpool, Mchezo ambao unaweza kukupa mkwanja wa kutosha usiku wa leo.

Mchezo huo wa nusu fainali unaonekana kama unaweza kua wa kisasi kwani Spurs walipokea kipigo kizito kwenye mchezo wa ligi kuu ya Uingereza mara ya mwisho walipokutana, Je usiku wa leo Tottenham wataweza kulipa kisasi mbele ya vinara hao wa ligi kuu ya Uingereza?

Mchezo ambao unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa na idadi kubwa ya magoli kwani mara ya mwisho vilabu hivo kukutana vilikua kulikua na idadi kubwa ya mabao, Ambapo Liverpool walifanikiwa kushinda kwa jumla ya mabao 6-3.

Mchezo huu wa nusu fainali kama ilivyo kawaida utapigwa katika mikondo miwili kwa maana nyumbani na ugenini na lei Tottenham wamepata nafasi ya kuanzia nyumbani, Huku mchezo unaofuata utachezwa Anfield wiki kadhaa zijazo.

Huu unaweza kua msimu wa klabu ya Tottenham kuondoa rekodi mbaya ya muda mrefu ya kushindwa kutwaa mataji, Kama watafanikiwa kuitupa Liverpool nje kwenye michuano hiyo ambapo watapata nafasi ya kucheza fainali baina ya Newcastle United au Arsenal.

Mchezo mwingine utachezwa pale nchini Hispania ambapo michuano ya Spanish Super Cup itachukua nafasi na klabu ya Athletic Club itaikaribisha Barcelona kumenyana nao katika mchezo ambao ni wazi utakua mgumu kwa timu zote mbili.

Timu hizo mbili zilipokutana kunako ligi kuu ya Hispania msimu huu Barcelona walifanikiwa kupata matokeo ya ushindi japokua mchezo ulikua mgumu kwelikweli, Hivo hata leo mchezo unatarajiwa kua wenye ushindani kwani kila timu itahitaji kushinda mchezo huu ili kujitengenezea mazingira ya kutwaa taji la kwanza msimu huu.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko mahala pengine, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.

No comments: