Rais Samia akutana na kuzungumza na Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bi. Susan Namondo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Balozi wa Japan hapa nchini anayemaliza muda wake Mhe. Yasushi Misawa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania Bi. Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.
No comments: