MALIZA WIKENDI YAKO NA MERIDIANBET

 

KAMA unataka kumaliza wikendi yako vizuri leo hii, wewe suka jamvi lako na wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo nafasi ya kuibuka bingwa unayo leo maana Chelsea, Yanga, Real Madrid wapo dimbani kukupa pesa.

Ligi kuu ya Uingereza EPL, baada ya jana kushuhudia mitanange ya maana ikipigwa leo hii pia kuna mechi za pesa Chelsea baada ya kushinda mechi yao iliyopita, leo hii watakuwa ugenini kusaka pointi 3 zingine dhidi ya Everton ambao walitoa sare. Mara ya mwisho kukutana, The Toffes walipasuka vibaya sana. Je leo hii watalipa kisasi mbele ya vijana wa Enzo?. Mechi hii ina ODDS 4.80 kwa 1.69. Jisajili hapa.

Wakati huo huo Manchester United baada ya kushinda derby yao leo hii watakuwa Old Trafford kupepetana dhidi ya AFC Bournemouth ambao wapo nafasi ya 8 na pointi zao 25. Toauti ya pointi kati yao ni 3 pekee. Je beti yako unampa nani leo?. 1.85 kwa 4.10 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa.

Nafasi ya kuwa bingwa na Meridianbet ni leo kwani odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Na mechi kali kabisa leo hii pale Uingereza ni hii ya Tottenham Spurs vs Liverpool ambayo itapigwa majira ya saa 1:30 usiku. Ikumbukwe kuwa Arne Slot na vijana wake wanahitaji ushindi ili wazidi kujikita kileleni kabisa. Lakini nao Spurs wanataka ushindi nyumbani. Meridianbet wamewapa Liver nafasi ya kushinda kwa ODDS 1.68 kwa 4.50. Wewe unampa nani akupe ushindi?. Suka jamvi hapa.

Kule LALIGA pia kitawaka haswa ambapo Real Madrid baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, leo hii atamkaribisha kwake Sevilla ambao wapo nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi. Mtanange wa mwisho kukutana, Real alipata ushindi mwembamba. Je leo hii nani kuondoka mbabe pale Bernabeu?. 1.32 kwa 9.00 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Pia naye CD Leganes baada ya kuokota pointi 3 ugenini mechi yake iliyopita, leo hii atarejea nyumbani kuumana dhidi ya Villarreal ambao walitoa sare mechi yao iliyopita. Meridianbet wanampendelea Nyambizi wa Njano kushinda mechi hii kwa ODDS 1.86 kwa 4.40. Wewe unamdhamini nani akupe mkwanja leo?. Beti sasa.

Na ifikapo hapo saa 5:00 usiku, ni mechi kali kati ya Real Betis vs Rayo Vallecano ambapo kila timu inahitaji pointi 3, lakini mwenyeji anataka heshima nyumbani. Tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee. Mechi hii imepewa ODDS 1.75 kwa 4.90 na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Tandika jamvi lako sasa.

Vilevile plae Ujerumani BUNDESLIGA leo hii kutawaka moto haswa vilivyo VFL Bochum atakiwasha dhidi ya FC Heidenheim ambao hawapewi nafasi ya kushinda mechi hii ya leo wakiwa na ODDS 3.20 kwa 2.24. Mwenyeji yupo nafasi ya mwisho kwenye msimamo na mgeni wake yupo nafasi ya 16. Bashiri mechi hii.

Borussia Dortmund atakuwa mgeni wa VFL Wolfsburg ambao wapo nafasi ya 11 huku kwa mgeni yeye yupo nafasi ya 10. Wamepishana pointi moja pekee. Mara ya mwisho kukutana kwenye ligi walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuibuka na pointi 3?. Mechi hii imepewa ODDS 3.15 kwa 2.20. Jisajili hapa.

Unaweza ukabashiri pia mechi za ligi kuu ya Italia SERIE A ambazo leo hii zinaendelea Atalanta atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Empoli ambao wanashikilia nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi. Vijana wa Gasperin wanahitaji ushindi kupaa hadi kileleni. Je mgeni anaweza kumzuia mwenyeji kufika juu ya msimamo?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.27 kwa 11.

Venezia ambaye ndiye kibonde wa ligi atamualika kwake Cagliari Calcio huku timu hizi zimetofautiana pointi 4 pekee. Mwenyeji kwenye mechi 16 alizocheza ameshinda mbili pekee huku mgeni yeye ameshinda mechi 3 pekee. 2.46 kwa 3.00 ndio ODDS za mechi hii. Beti yako unaiweka wapi hapa?. Suka jamvi hapa.

Nao Juventus ikiwa ndio timu pekee ambayo hajapoteza mechi yoyote hadi sasa atakuwa mgeni wa AC Monza ambao wapo nafasi ya 19 kwenye msimamo wa ligi. Bibi Kizee wa Turin anahitaji ushindi hii leo ugenini baada ya kupata sare mechi yake iliyopita. Je mwenyeji atafanya nini nyumbani? 6.40 kwa 1.64 ndio ODDS za mechi za mechi hii.











No comments: