TPSF yazindua maadhimisho ya Siku ya Sekta Binafsi

 

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Angelina Ngalula (kushoto) na Meneja Masoko wa GSM, Rukia Yazid, wakizindua kwa pamoja leo Novemba 10, 2022 Maadhimisho ya Siku ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSD22) yatakayofanyika mwanzoni mwa Desemba. 
(PICH NA EMMANUEL MASSAKA WA MICHUZI TV)

No comments: