SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA

 

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. kanali (Mst) Fred Mwesigye alipomtembelea leo tarehe 3 Novemba, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. kanali (Mst) Fred Mwesigye alipomtembelea leo tarehe 3 Novemba, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. kanali (Mst) Fred Mwesigye baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 3 Novemba, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiagana na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. kanali (Mst) Fred Mwesigye baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 3 Novemba, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

 

No comments: