
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipitia kitabu chenye machapisho ya Mkutano Mkuu wa kwanza mpaka wa 12 wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietman (CPV) pamoja na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga (kulia) mara baada ya kukabidhiwa na Balozi wa Vietnam nchini Komredi Nguyen Nam Tien (kushoto) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo Lumumba, jijini Dar Es Salaam, Alhamis, Septemba 8, 2022.


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akimkabidhi zawadi ya kitabu cha Chemchemi ya Fikra za Kimapinduzi Balozi wa Vietnam nchini Komredi Nguyen Nam Tien (kushoto) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo Lumumba, jijini Dar Es Salaam, Alhamis, Septemba 8, 2022.


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Balozi wa Viet Nam nchini Tanzania, Komredi Nguyen Nam Tien (kushoto) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo Lumumba, jijini Dar Es Salaam, Alhamis, Septemba 8, 2022.
KATIBU MKUU CCM CHONGOLO AKUTANA NA BALOZI WA VIETNAM NCHINI
Reviewed by
TUPASHANE
on
September 08, 2022
Rating:
5
No comments: