RAIS MWINYI AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA MAMLAKA YA NYARAKA NA KUMBUKUMBU ZA TAIFA YA OMAN DR.HAMED MODH AL DHAWIANI IKULU ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyila leo 25-8-2022 katika ukumbi wa Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani (kulia kwa Rais) alipofia Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 25-8-2022, akiwa na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al-sinawi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-8-2022.(
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya moja ya kitabu kinachoelezea historia na kumbukumbu ya Oman na Zanzibar kutoka kwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-8-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya moja ya kitabu kinachoelezea historia na kumbukumbu ya Oman na Zanzibar kutoka kwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani,(kulia kwa Rais) na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al Sinawi, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-8-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman Dr. Hamed Mohd Al Dhawiani , alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika leo 25-8-2022 katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kitabu kinachoelezea historia ya Zanzibar na Oman na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Nyaraka na Kumbukumbu za Kitaifa ya Oman.Dr.Hamed Mohd Al Dhawian, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 25-8-2022, na (kulia kwake) Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al Sinawi.(Picha na Ikulu)
No comments: