WABUNGE VINARA MASUALA YA USALAMA WA CHAKULA WAPATIWA MAFUNZO KUHUSU SUMUKUVU NA USALAMA WA CHAKULA JIJINI DODOMA


Mwenyekiti wa Wabunge vinara wa masuala ya usalama wa Chakula na Lishe, Mhe. Neema lugangira akiongoza semina kuhusu Sumukuvu na usalama wa Chakula iliyofanyika leo katika ofisi ya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 6, 2021



Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nelson Mandela, Prof. Martin Kimanya akiwasilisha maada kuhusu usalama wa Chakula nchini Tanzania mbele ya Wabunge vinara wa masuala ya usalama wa Chakula na Lishe wakati wa semina kuhusu Sumukuvu na usalama wa Chakula iliyofanyika leo katika ofisi ya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 6, 2021



Mbunge kinara masuala ya usalama wa Chakula na Lishe, Mhe. Fatma Toufiq akizungumza wakati wa semina kuhusu Sumukuvu na usalama wa Chakula iliyofanyika leo katika ofisi ya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 6, 2021



Mbunge kinara masuala ya usalama wa Chakula na Lishe, Mhe. Jumanne Sagini akizungumza wakati wa semina kuhusu Sumukuvu na usalama wa Chakula iliyofanyika leo katika ofisi ya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 6, 2021



Wabunge vinara masuala ya usalama wa Chakula na Lishe wakiwa katika semina kuhusu Sumukuvu na usalama wa Chakula iliyofanyika leo katika ofisi ya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 6, 2021, Kushoto ni Mbunge wa Mlalo, Mhe. Rashid Shangazi na Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Dkt. Alice Kaijage

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments: