WAZIRI MULAMULA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA JAJI WA MAHAKAMA YA AFRIKA


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula akizungumza na Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyopo Arusha, Mhe. Tujilane Chizumila alipomtembelea Ofisi kwake jijini Dodoma leo tarehe 1 Julai 2021 kwa ajili ya kumsalimia na kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa Waziri.
Mhe. Waziri akimsikiliza Mhe. Jaji Chizumila wakati wa mazungumzo kati yao
Mazungumzo yakiendelea

Mhe. Waziri akimweleza jambo Mhe. Jaji Chizumila mara baada ya kumaliza mazungumzo kati yao

No comments: