WAZIRI MKUU ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU YA KUSIMIKWA ASKOFU SIMONI CHIBUGA MASONDOLE, BUNDA MUSOMA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpongeza Askofu Simon Chibuga Masondole kwa kupewa daraja takatifu la uaskofu na kusimikwa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Bunda, katika viwanja vya Kanisa Kuu la Bunda, Mkoani Mara, Julai 4, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande akimkabidhi Bakora ya Kichungaji, Askofu wa Jimbo Katoliki Bunda, Simon Chibuga Masondole kama alama ya kazi ya uchungaji, wakati wa tukio la kupewa daraja takatifu la uaskofu na kusimikwa kuwa askofu wa jimbo Katoliki Bunda, katika viwanja vya Kanisa Kuu la Bunda, Mkoani Mara, Julai 4, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
skofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande akiwa ameweka kitabu cha injili kichwani mwa Askofu mteule wa Jimbo Katoliki Bunda Simon Chibuga Masondole wakati wa tukio la kupewa daraja takatifu la uaskofu na kusimikwa kuwa askofu wa jimbo Katoliki Bunda, katika viwanja vya Kanisa Kuu la Bunda, Mkoani Mara, Julai 4, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande akimvisha Mitra Askofu Simon Chibuga Masondole, wakati akimpa daraja takatifu la uaskofu na kumsimika kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Bunda katika viwanja vya Kanisa Kuu la Bunda, Mkoani Mara, Julai 4, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwahutubia waamini wa Jimbo Katoliki Bunda, baada ya kusimikwa kua Askofu wa Jimbo Katoliki Bunda, Simon Chibuga Masondole kwa kupewa daraja takatifu la uaskofu na kusimikwa kuwa askofu wa jimbo Katoliki Bunda, katika viwanja vya Kanisa Kuu la Bunda, Mkoani Mara, Julai 4, 2021

No comments: