DK.HUSSEIN ALI MYINYI AMEKUTANA NA UONGOZI WA (ZIPA NA TIC)

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokutana na kwa mazungumzo na Uongozi wa Mamlaka ya kukuza Uwekezaji (ZIPA) pamoja na uongozi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)  leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/07/2021. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi (kulia) leo amekutana  kwa mazungumzo na Uongozi wa Mamlaka ya kukuza Uwekezaji (ZIPA) pamoja na Uongozi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/07/2021.

No comments: