Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wahudumu wa Shirika la Ndege la ATCL mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo Juni 20, 2021.
Rais Samia Suluhu Hassan awasili Jijini Dodoma
Reviewed by TUPASHANE
on
June 20, 2021
Rating: 5
No comments: