RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA JAMHURI YA BOTSWANA DKT. MOKGWEETSI MASISI IKULU DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya
Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi mara baada ya kuwasili
Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Juni 2021.
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Zawadi za Picha Rais wa Jamhuri ya
Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi mara baada ya kuwasili
Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Juni 2021.
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Zawadi za Picha Rais wa Jamhuri ya
Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi mara baada ya kuwasili
Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Juni 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Samia Suluhu Hassan akipokea na kuiangalia zawadi ya picha aliyopewa na
Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi mara
baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Juni 2021.
No comments: