VITA VIKALI MSIMU WA 2020/2021 KUELEKEA UKINGONI
*Jiunge na Mamilioni ya Washindi na Uwe Miongoni Mwa Wanafamilia ya Meridianbet
VITA vikali kuendelea msimu huu wa 20/21 kwenye ligi mbalimbali barani ulaya. Ikiwa tunaelekea ukingoni kabisa mwa ligi hizo na kujiandaa na usajili mapema mwezi Juni kwa ajili ya msimu ujao, meridianbet inakupa Bonasi Kubwa, Odds za Kibabe na Ofa kedekede. Bashiri na Meridianbet na ushinde!
Jumanne hii katika EPL, Chelsea atamkalibisha Leicester City katika viwanja vya nyumbani Darajani, huku wakipambania nafasi ya tatu ambapo wamepishana pointi mbili. Je, Chelsea watatusua pointi 3 na kuchukua nafasi ya Leicester City? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.77 kwa Chelsea.
Huko huko EPL, Manchester United watamenyana na Fulham katika uwanja wa mashetani wekundu Old trafford. Huku Meridianbet tumewawekea Odds ya 1.35 kwa Manchester.
Jumatano hii kwenye EPL, Everton watakutana na Wolves kwenye uwanja wa Goodison Park, huku Everton wakifukuzia nafasi ya 7 ambayo imeshikwa na West Ham wakiwa wamepishana na Pointi 3. Je, Everton wataweza kutwaa pointi 3 hizo kutoka kwa Wolves? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.00 kwa Everton.
Alhamisi hii kwenye Ligi ya Belgian First Division A, Genk watachuana na Antwerp kwenye uwanja wa nyumbani wa Cristal arena, huku Genk akiikimbiza nafasi ya tatu ilioshikwa na Anderlecht na wakiwa wamepishana pointi 2 tu. Je, Genk watafanikiwa kunyaka pointi 3 hizo kwa Antwerp ambao wameshika nafasi ya pili kwenye Ligi hiyo? Meridianbet tumewawekea Odds ya 1.80 Genk.
Meridianbet, Odds Kubwa, Bonasi za kumwaga na Ushindi lazima
No comments: