TANZIA: RC MSTAAFU DAR MAMA MARY CHIPS AFARIKI DUNIA
FAMILIA ya Chipungahelo na Zayumba inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Mary Alice Chipungahelo (Mama Chipps) kilichotokea tarehe 09/05/2021 majira ya saa 8 mchana katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar Es Salaam.
Msiba uko Magomeni Mapipa Mtaa wa Takadiri kwa Mama Joyce Nkondola. Mazishi yanatarajiwa kufanyika Alhamisi - Ratiba imeambatanishwa.
TAHADHARI: Familia Inaomba Tuchukue Tahadhari Kwa Kuvaa BARAKOA Kwenye Mikusanyiko.
No comments: