RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA ELIYA FOOD OVERSEAS LIMITED YA DUBAI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Eliya Food Overseas Limited kutoka Nchini Dubai, ukiongozwa na Bw. Shabbir Virjee (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Ujumbe wa Kampuni ya Eliya Food Overseas Limited kutoka Nchini Dubai, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments: