Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka asubuhi hii kwenda nchini Uganda ambapo leo tarehe 12 Mei, 2021 atahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa sherehe wa Kololo Jijini Kampala.
RAIS SAMIA KUSHIRIKI LEO UAPISHO WA RAIS MTEULE WA UGANDA,MHE MUSEVENI
Reviewed by TUPASHANE
on
May 11, 2021
Rating: 5
No comments: