Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Rais Mstaafu Obasanjo


Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo na Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Balozi Liberata Mulamula leo tarehe 3 Mei, 2021 Ikulu Chamwino.

 

No comments: