Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Baraza la Eid ElFitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Mei, 2021.
RAIS SAMIA AHUTUBIA BARAZA LA EID ELFITR VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM
Reviewed by TUPASHANE
on
May 14, 2021
Rating: 5
No comments: