RAIS MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI MDOGO WA JAMHURI YA WATU WA CHINA IKULU ZANZIBAR

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyika Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 19-5-2021, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya kitabu na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyika Kazi zake Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, alipofika kujitambulisha.(Picha na Ikulu)

No comments: