Ndalichako atembelea banda la Tigo katika maonesho ya kitaifa ya sayansi, teknolojia na ubunifu(Makisatu 2021)..

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akipata maelezo kutoka kwa maafisa wa Tigo kuhusu huduma na bidhaa mbalimbali zinazotolewa na kampuni ya simu ya TIgo mapema leo alipotembelea banda la tigo katika maonesho ya kitaifa ya sayansi, teknolojia na ubunifu(makisatu 2021) katika viwanja vya jamhuri Jijini Dodoma .

No comments: