SIMBACHAWENE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Dkt. Donald Wright akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), walipokutana kwa mazungumzo leo katika Makao Makuu ya wizara jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Balozi wa Marekani nchini, Dkt. Donald Wright (kulia), walipokutana kwa mazungumzo leo katika Makao Makuu ya wizara,jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments: